Ezekiel 16:11-12

11 aNikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako, 12 bnikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako.
Copyright information for SwhNEN